Katibu mkuu Wizara ya Uchukuzi,Omar Chambo akielezea kamati ya Bunge ya Uchukuzi umuhimu wa kuwepo kwa bandari mpya ya Mwamboni wakati kamati hiyo ilipotembelea eneo la Mwamboni Tanga,jana.
Kamati ya Bunge ya uchukuzi ikiondoka eneo la bandari mpya ya Mwambani inayotarajiwa kuanza ujeanzi wake hivi karibuni ilipofanya ziara mkoani humo.
Meneja wa bandari ya Tanga Awadhi Massawe (alienyoosha mkono wa kushoto) akiielezea kamati ya Bunge ya uchukuzi juu ya maeneo yanayotakiwa kuboresha miundo mbinu ya bandari hiyo wakati kamati hiyo ilipofanya ziara katika bandari ya Tanga.
Kamati ya Bunge ya uchukuzi ikitoka katika jengo la bandari ya Tanga baada ya kumaliza mkutano wao wa kujadili jinsi ya uboreshaji wa bandari za mkoa wa Tanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...