Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. He he he he he !

    ReplyDelete
  2. Acha kuposha watu. Mahakama ya kadhi ni kwa waislam tu na kwa mambo yanayohusu ndoa na miradhi. Wezi na wabakaji watashughulikiwa na ki-secular!!

    ReplyDelete
  3. We Gado Acha Ujinga!

    ReplyDelete
  4. Wakristo Misri walitapeliwa wakaungana na wenzao waislamu kugombea mabadiliko. Cha ajabu ni kwamba wakristo sasa cha moto wanakiona. Wanachomewa makanisa na washauwa kibao. Wamegeukwa!

    ReplyDelete
  5. huyu chief justice wa kenya mr. willy mutunga alisema recently kuwa angetaka kadhi coourt ya kenya iwe na majaji wanawake lakikni viongozi wa waislam walikataa hilo jambo. kwenye hii cartoon wanajitetea kwamba sio kwamba hakuna wanawake kwenye kadhi's court kwasababu kuna wanawake wenye kuserve tea. what a joke mr. gado. yaani wanawake wapewe kazi za ovyo peke yake. anyway mr.gado hii si kwenye dini ya kiislam peke yake hata kwenye dini nyingine wanawake hawa ruhusiwi kuwa priests au pope. uonevu ni huo huo.

    ReplyDelete
  6. Comments za wenzangu zimekaa vipi leo ama mimi sielewi?. Huyu jamaa Gado (MTZ) ni kichwa anatoa quiz wote chali. Hapa anaongele kitu tofauti jinsi tunda lilivyo muhimu. Kwanza Adam kala tunda tukazaliwa, Newton akagongwa na tunda ilipelekea gunduzi nyingi tu (law of gravitational force) na Marehemu Job alifanya mengi kwa lebo ya apple computer. Nafikiri ndo alicholenga

    ReplyDelete
  7. Mbona hizi comments haziendani na post?

    ReplyDelete
  8. nyiyi nyote hamjamuelewa gado isac newton mmemuona?nini maana ya hiyo apple pamoja na huyo job kwamba apple imefanya mambo mengi mazuri,,,..... tafakari wanadamu msikurupuke......

    ReplyDelete
  9. mkiambiwa mkasoma shule mnakasirika sasa katuni ndogo kama hii hamuwezi kuitafsiri..shauri yenu mtabaki mkilaumu kila siku...apple oyeeee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...