Duka linaloongoza kwa viwalo toka Marekani la Virago lililopo Namanga jijini Dar es salaam karibu na mgahawa wa Best Bite limetema mali mpya ambazo kama kawaida ukinunua unakuwa huna hofu ya kugongana na mtu mwingine kavaa kama wewe yaani Virago kila kitu ni exclusive na hakuna sare sare maua
Sanamu wa Virago wanasifika kwa kupiga pamba kuliko wenzao wote
pamba za nguvu
Sanamu wa Virago wanasifika kwa kupiga pamba kuliko wenzao wote
pamba za nguvu
pamba na mikoba
Kwa mapicha zaidi tembelea libeneke la Virago
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...