Home
Unlabelled
mambo ya gado leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
He he he he he !
ReplyDeleteAcha kuposha watu. Mahakama ya kadhi ni kwa waislam tu na kwa mambo yanayohusu ndoa na miradhi. Wezi na wabakaji watashughulikiwa na ki-secular!!
ReplyDeleteWe Gado Acha Ujinga!
ReplyDeleteWakristo Misri walitapeliwa wakaungana na wenzao waislamu kugombea mabadiliko. Cha ajabu ni kwamba wakristo sasa cha moto wanakiona. Wanachomewa makanisa na washauwa kibao. Wamegeukwa!
ReplyDeletehuyu chief justice wa kenya mr. willy mutunga alisema recently kuwa angetaka kadhi coourt ya kenya iwe na majaji wanawake lakikni viongozi wa waislam walikataa hilo jambo. kwenye hii cartoon wanajitetea kwamba sio kwamba hakuna wanawake kwenye kadhi's court kwasababu kuna wanawake wenye kuserve tea. what a joke mr. gado. yaani wanawake wapewe kazi za ovyo peke yake. anyway mr.gado hii si kwenye dini ya kiislam peke yake hata kwenye dini nyingine wanawake hawa ruhusiwi kuwa priests au pope. uonevu ni huo huo.
ReplyDeleteComments za wenzangu zimekaa vipi leo ama mimi sielewi?. Huyu jamaa Gado (MTZ) ni kichwa anatoa quiz wote chali. Hapa anaongele kitu tofauti jinsi tunda lilivyo muhimu. Kwanza Adam kala tunda tukazaliwa, Newton akagongwa na tunda ilipelekea gunduzi nyingi tu (law of gravitational force) na Marehemu Job alifanya mengi kwa lebo ya apple computer. Nafikiri ndo alicholenga
ReplyDeleteMbona hizi comments haziendani na post?
ReplyDeletenyiyi nyote hamjamuelewa gado isac newton mmemuona?nini maana ya hiyo apple pamoja na huyo job kwamba apple imefanya mambo mengi mazuri,,,..... tafakari wanadamu msikurupuke......
ReplyDeletemkiambiwa mkasoma shule mnakasirika sasa katuni ndogo kama hii hamuwezi kuitafsiri..shauri yenu mtabaki mkilaumu kila siku...apple oyeeee
ReplyDelete