Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. michuzi keep on bringing gado's cartoons. this guy is a genius. kazi zake ni nzuri sana. sasa hawa al shabaab wanaweza kumpeleka nani mahali pazuri wakati wao ni wauwaji, waizi na kidnapers. hawaishi kutupa mabomu kuuwa watu na kupigana mpaka wameiaribu nchi yao. wanapenda sana vita na hawata shinda. to me the only place they can take you is hell.

    ReplyDelete
  2. Sio Kweli, wakikuua ni kweli utakwenda paradiso, kazi ni kwao wao wauwaji. je ni kweli wanaua tu hovyo? au tunapata habari za upande mmoja tu? hao si kama wako vitani? kuna ubaya kumuua adui yako? ni mtazamo tu

    ReplyDelete
  3. endeleeni kumsifia tu.. siku naye akitangulia mbele za haki watu watamkejeli na vikatuni kama yeye anavyokejeli watu walio ktk vita

    ReplyDelete
  4. dini ni falsafa (mtazamo). Ukiwa muumini wa dini fulani mtazamo wako ni ule ule kama wa waumini wenzako. Ni vigumu kwa Muislam yeyote kutofautiana na Al shabab.

    ReplyDelete
  5. Wengi wetu hatutaki kufahamu kuwa katuni ni moja ya somo la maisha ya kila siku ki aina yake.Na baadhi watafurahishwa,wengine wataudhika,muhimu ni kuwa ukifurahishwa furahi kwa matumaini mema.Ukiudhika,kabla hujaamuwa kutukana na kukejeli jiulize kwa nini umeudhika,na ingekuwaje kama usingeudhika.
    BLESS YOU

    ReplyDelete
  6. mtoa hoja no1 safi sana.
    inatisha sana kuona watoa hoja 3 anamtizamo kam hao al shabeeb.
    hao ni materorist kama osama bin laden dini yake inamruhusu kuuwa watu kama alivyofanya osama na wataleban.
    na wameshaingia tz mbaya zaidi dini fulani inawasupport kichinichini.
    ukitaka facts ni emalie
    twalibuni@yahoo.com utashangaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...