Baadhi ya wageni waalikwa katika mnuso wa kusherehekea mafanikio ya kanda ya Miss Ilala katika kutoa Miss Tanzania ambapo mwaka huu Miss Salha Israel pamoja na washindi wa pili na wa tatu katoka Ilala. Hata hivyo hafla hii iliingia dosari pale waandaaji wa Miss Tanzania kumzuia Miss TZ 2011 Salha Israel asihudhurie kwa sababu ambazo hazikujulikana mara moja, kitendo ambacho kimelaaniwa sana na waandaji wa mnuso huu uliofanyika usiku kuamkia leo hoteli ya JB BELMONT (zamani Paradise City) ndani ya jengo la Benjamin Mkapa Towers mtaa wa Azikiwe jijini Dar
Ankal akiwa na Hartman, Kanumba na JB mnusoni
Muddy Bawazir na Mwenyekiti wa ASET Baraka Msiilwa
Mwandaaji wa Miss Ilala Jackson Kalikumtima akiwa na mmoja wa washindi wa Miss Ilala wa miaka ya nyuma
Jackson Kalikumtima akimtambulisha Miss TZ 2011 wa tatu ambaye
Mwandaaji wa Miss Tabata Freddy Ogot na mwalimu wa warembo wa kitongoji hicho wakisalimia wageni
Mratibu wa hafla wa JB BELMONT hotel Muddy Bawazir akitoa neno
Rhumba kali lililoporomoshwa na Kisauji na kundi lake
Ankal akiwa na Baraka Msiilwa, Muddy Bawazir na Mharirir wa Tanzania Daima kaka Absalom Kibanda
Lundenga amechoka, anatakiwa kupumzika! Hivi hatambui kuwa Salha alitoka Ilala? hivi hajui kuwa bila kalikumtima kumtafuta, kumfunda na kumfundisha asingefika kwake? yeye anavuna asichopanda na wale waliopanda anawanyima kuvuna mazao ya jasho lao!!
ReplyDeleteMnuso wa nini sasa; au mambo ya chagulaga
ReplyDelete