Mmoja wa watumishi wa Duka la Seifi lililopo mjini Morogoro akihamisha baadhi ya vifaa vya umeme baada ya Duka hilo kushika moto na kuteteteza sehemu ya bidhaa hizo jana mjini humo.chanzo cha moto huo mpaka sasa hakifaweza kufahamika.
Baadhi ya wafanyabiashara raia wa Tanzania wenye asili ya kiasia na wengineo wakiangalia vifaa vilivyoungua moto,baada ya duka la Seifi la mjini Morogoro kuungua moto.Picha na John Nditi.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...