Huyu ndiye Msamaria mwema aliyemgundua Cecilia Edward huko Kisarawe mkoa wa Pwani na kuamua kumsaidia yatima huyu anayeteseka na maradhi ya moyo na kuvimba tumbo. Juhudu zimefanyika kumpeleka India ambako amerudi bila kutibiwa uvimbe wake wa tumbo. Mikakati zaidi inahitajika ili kumsaidia yatima huyu.
Home
Unlabelled
msamaria mwema aelezea Kisa cha mtoto mgonjwa wa tumbo cecilia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kwa nini wameshindwa kumtibu ?
ReplyDeletemdau paris
Wanandugu!!!
ReplyDeleteKuna Nabii anaitwa TB Joshua yupo pale Lagos Nigeria, ingekuwa vema pia akipelekwa pale kwa maombi yanasaidia sana hasa pale uwezo wa binadamu unapofikia kikomo.
Ni kweli..lisilowezekana kwa binadamu kwa Mungu linawezekana....
ReplyDeleteAnony Thu Oct 13, 08:10:00 AM 2011...acha mambo yasiokua na msingi. Uyo mtoto anaumwa na magonjwa yanajulikana sasa wewe kutoa ushauri apelekwe kwa matapeli Nigerians sioni kama ni jambo la msingi. Kwa taarifa yako hakuna nabii ulimwengu wa leo na wala hatotokea mpaka Yesu/Jesus/Issa arudi.
ReplyDeleteWameshauri atumie dawa kwanza ili kuondoa sumu iliyosababisha maradhi. Sumu iliyotokana kwa kula mihogo. Cha kufanya asaidiwe lishe na kuendelea na dawa.
ReplyDeleteHii habari haijakamilikia mkuu. Amerudi bila kutibiwa? Kwa nini? Alienda lini?
ReplyDeleteAmerudi bila kutibiwa kwanini? Na nini kinacho takiwa kufanyika hivi sasa. Tuko tayari kusaidia...
ReplyDeleteNashauri aliyemtoa Mgonjwa kisarawe,asaidiwe kusafiri kwenda TB Joshua,Lagos Nigeria kama alivyoshauri mtu mmoja hapo juu.NAAMINI MTOTO ATAPONA TENA ATASHANGAZA WATANZANIA.
ReplyDeleteTafadhali naomba namba ya simu ya anayemtunza huyo mtoto,yaani huyo aliyemtoa kisarawe,tushauriane ili tuone cha kufanya.My email is:pdkihoza@gmail.com
ReplyDeleteFrom Joensuu,Finland.
wadau, kwenye kuomba msaada ili akatibiwe maelezo yalikuwa mazuri sana. Nafikiri ingekuwa vizuri vilevile tukaelezwa ni adha gani imetokea ndugu yetu hakufanikiwa kupata matibabu kusudio. Na ikiwezekana tuelezwe hata kitaalamu ijapokuwa sisi wataalamu wabongo tulilishindwa sakata lake. Hi itatujengea sisi wataalamu nakishi ya kugundua wengine mapema kabla hali haijawa kama ya huyu aliyerudishwa. Sumu ya Mhogo? possible!!, but are you serious, and which one might be, how it affect human body,and what will be the management plan (treatment). Yah, anything is possible in medicine BUT we need explanation as why she is back without any intervation.
ReplyDeleteInasikitisha kweli, sasa India kwanini wanamrudisha hivi hivi? Hiyo sumu imeshindikana kweli hospitali? unawarudishia familia ambao hawana uwezo in the first place kwamba waondoe sumu?? How
ReplyDeleteInasikitisha kweli, sasa India kwanini wanamrudisha hivi hivi? Hiyo sumu imeshindikana kweli hospitali? unawarudishia familia ambao hawana uwezo in the first place kwamba waondoe sumu?? How
ReplyDeleteSijui ni gharama au vipi ila serikali ingesaidia kiasi ili aendelee kukaa ili watafute dawa za kuondoa sumu pole pole. Otherwise hii ni kupunguza siku za maisha ya mtoto mzuri kama huyu...inasikitisha sana
Asante sana msamaria mwema kwa kazi yako. tuwasiliane tuone tutasaidia vipi.Nitashukuru kama utaweza kunieleza kiurefu na ukweli kuhusu ni nini kinahitajika ili cecilia apone. Na matokeo ya matibabu india. asante
ReplyDeletekokodemelo@yahoo.com
pat
Jamani ila madaktari wamesema atumie dawa kwanza nyie semeni tu mara mganga,nabii, shehe na maombi ila mkumbuke kila kitu na Imani ya mtu, hamwezi kumchukua mkristo kumpeleka kwa shehe wala muislamu mumpeleke kwa nabii. Hivyo naomba msipandikize kitu ambacho hakipo kwa mtoto.
ReplyDelete