Kombe la Uhuru litakalogombewa na Simba na Yanga
 Wanja Jipya utakaochezewa mechi ya Yanga na Simba Jumapili Oct 16,2011 saa 10:30 Jioni tunaomba Mashabiki pamoja na wachezaji wafike saa 10 kamili jioni Uwanja tumelipia kwa saa chache na Mgeni wa Heshima wa mchezo huu ni Mh.Balozi Mwanaidi Maajar tafadhali tujitahidi kuzingatia muda.

Address ya uwanja ni
Heurich Park
6001 Ager Rd,
Hyattsville,MD 20782

Kama unatokea Riggs Rd kwenye East West Hwy,chukua Lane ya kulia inayokupeleka West Hyattsville Metro Station,kata kushoto kwenye Nicholson halafu kata kushoto kwenye barabara ya kwanza utakayokutana nayo na itakupeleka hadi kwenye Park,uwanja umezungushiwa Uzio na una majukwaa
 Jukwaa la Mashariki ya uwanja litakalo kaliwa na Mashabiki wa Simba
Jukwaa la Magharibi ya uwanja litakalo kaliwa na mashabiki wa Yanga
Bango la magoli sisi 4 wao 0 na mpira umekwisha

TAFADHALI ZINGATIA MUDA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...