Mkuu wa Vodacom kanda ya Pwani Atilio Lupala(kushoto)akimwelezea mshindi wa luninga Sylvester Stewa baada ya kujishindia luninga hiyo katika promosheni ya Mega inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu kila siku,katika Afisa masoko wa kampuni hiyo Simon Mwambapa
Mkuu wa Vodacom kanda ya Pwani Atilio Lupala(kushoto)akimkabidhi hundi yenye thamani ya Tsh Milioni 11 mshindi wa promosheni ya Mega Mume wa Lady Jay Dee Gardner Habash(kulia)inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu kila siku,katikati Meneja wa Vodacom Henry Tzamburukas
Mshindi wa promosheni ya Mega inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Gardner Habash(kulia)akiangalia hundi yake yenye thamani ya shilingi Milion 11 baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja wa Vodacom Henry Tzamburukas,kulia ambapo wateja hushiriki na kujishindia fedha taslimu na luninga ya kisasa kila siku.
Mkuu wa Vodacom kanda ya Pwani Atilio Lupala(kushoto)akimuangalia mshindi wa Tsh Milioni 11, Juvenal Kwayu akifurahia hundi yake aliyejishindia katika promosheni ya mega inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo kila siku wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu.
Mshindi wa Tsh Milioni 11, Juvenal Kwayu akifurahia hundi yake aliyejishindia katika promosheni ya mega inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo kila siku wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu
Mkuu wa Vodacom kanda ya Pwani Atilio Lupala(kati)akiwa na washindi wa luninga kujishindia luninga hiyo katika promosheni ya Mega inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu kila siku,katika Afisa masoko wa kampuni hiyo Simon Mwambapa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...