Assalaamu Alaykum

Kwa niaba ya Madrasatun Nuur Leicester UK, kwa kutekeleza malengo tuliyoyaazimia katika mwezi wa Ramadhani, Inshaallah Masomo ya Dini ya Kiislamu kwa watu wazima, wake kwa waume, yataanza rasmi JUMAMOSI TAREHE 8-11-2011 kwa utaratibu huu:

JUMAMOSI: Darasa la kinamama
JUMAPILI: Darasa la Kinababa
MUDA: Kuanzia Saa Nane na Nusu mchana mpaka Saa Kumi na Nusu Jioni (2.30pm-4.30pm)
MASOMO: Quran, Tafsiri, Fiq h, Islamic Studies (inayojumuisha Tawheed, Seerah, Historia, Maadili nk)
PAHALA: 1st Floor, Kocha House, Malabar Road, Leicester, UK, LE1 2PD

Shime ndugu zetu tujiandikishe kujiunga ili tuongeze ufahamu wa dini yetu.

Tafadhali tuwaarifu wenzetu.

Wa Billahi Tawfeeq

Madrasatun Nuur Leicester
Simu: 07982124581 / 07792174408 / 07404711889
email: fcalwattan@gmail.com
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. barak allahu fikum, allah awape mwangazab na nuru ktk masomo yenu.

    ReplyDelete
  2. Insh'Allah Mwenyezi Mungu (SWT) awalipe waandaaji kwa kulifanikisha hili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...