Home
Unlabelled
wosia wa baba wa taifa sehemu ya kwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante Mwalimu.
ReplyDeleteNyerere Alikuwa madarakani kwa miaka 25. Hivi kwa nini hotuba mnazotuletea ni mbili tu na mnazirudia rudia kwa miaka zaidi ya kumi sasa? Si magazeti, TV, Blogs..., tena ni zile alizozitoa baada ya kung'atuka! Hivi hakuna nyingine?
ReplyDeleteNi kitu cha kushangaza sana ukifikilia Katika maisha yote ya uongozi wa Mwalimu Nyerere katika siasa iliyokuwa imeshika hatamu ambapo kila siku baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku tulikuwa tunalazimika kusikiliza hotuba zake. Sasa ni karibu miaka 12 baada ya Mwalimu kututoka bado tunapata hotuba ambazo hazizidi mbili tu za video.
ReplyDeleteTatizo blog nyingi za Watanzania zinaendeshwa kwa copy & paste. Nini maana ya kuwa na maktaba maalum ya Mwalimu Nyerere wakati kazi zake hata hazipatikani au tatizo ni uandishi wetu wa habari za mazoea na usiokuwa na kina hata hatuwezi kujisukuma kupata kazi zake kwenye video.
Jamani waandishi, mjaribu hata kidogo kuzifanya kazi zenu angalau ziendane na nchi inayokaribia miaka 50 ya uhuru katika dunia ya karne ya 21.