Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hee bongo kweli nako kuna vituko yani mtu kweli anaenda makumbusho kuangalia ATM machine..duuhh ama kweli sayansi na tekelinalokujia utandawazi bado mwingi, ATM ya 1997 inakaa makumbusho haaaa basi kuna mengi yatahifadhiwa huko

    ReplyDelete
  2. unashangaa nini ndugu unaona gari iliombeba marehemu nyelele imehifadhiwa pale gari jipya upuuzi mtupu.Mbona ile ndege iliomrudisha haikuhifadhiwa au?mpaka kije kizazi cha wene akili kiondoe huu upuuzi uliopo hapa.Qweman)

    ReplyDelete
  3. na wala sio 'Tele' machine, ila 'Teller' Machine

    ReplyDelete
  4. Hiyo ATM ya mwanzo baada ya miaka 100 itakuwa bei yake kubwa mara 20 ya bei ya awali. Wenzetu wanaita "Antique"!!

    ReplyDelete
  5. Sina uhakika kama habari hii ni kweli. Wadau mtakubaliana nami kuwa Benki ya kwanza kuwa na ATM Tanzania mwaka 1995 ilikuwa MERIDIAN BIAO ambayo ilikuwa na makao makuu yake Sukari House. Kwa bahati mbaya ilikuwa na mazingira ya kutatanisha na ikafungwa. Wenye deposit ya pesa ya Tanzania ilipona, nikiwemo mimi mdau, lakini inasemekana wenye pesa ya nje baadhi yao walilia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...