Baada ya kuwa na Jarida la Burudani na Maisha nchini Tanzania kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita THE BASE, Sasa tumeanzisha libeneke lingine kupitia mtandao wa
www.darbase.com
pata habari kali za mastaa nje na ndani, maisha, michezo, mahusiano, biashara na mengi mengineyo, website yetu ni ya kisasa na tunatumia lugha zote yaani kiswahili na kiingereza, karibu tuendeleze mapambano
Tony.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...