Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB,Dkt. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo kuhusu maendeleo na mafanikio ya Benki ya CRDB na hali ya uchumi wa nchi.Kushoto ni katibu wa Benki ya CRDB Bw. John Baptist Rugambo.
Home
Unlabelled
Dr.Kimei azungumzia hali ya uchumi wa nchi na mafanikio ya Benki ya CRDB kwa muhula wa mwisho wa mwaka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...