Prezidaa wa FM ACADEMIA Nyoshi el Sadat akipandisha mzuka wakati wana Ngwasuma walipokuwa wakitoa burudani kwenye sherehe za kupandisha vyeo Maluteni Usu wapya katika uwanja wa gwaride wa Chuo cha Jeshi cha TMA Monduli, mkoani Arusha, wikiendi ilopita. Mgeni rasmi alikuwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete
FM ACADEMIA wakimwaga Ngwasuma TMA Monduli

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...