Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jana wamelipua tena mashariki mwa Kenya..Kuna nini kati ya hawa Alshabaab na kENYA?Nani anaelewa kinachoendelea manake sisi wengine mambo ya siasa za kimataifa hatujabobea..

    David V

    ReplyDelete
  2. Kinachotakiwa ni Kenya waache kusikiliza na kuwatumikia wamarekani ktk vita isiowahusu.Somalia imechafuliwa na wamarekani na mpaka sasa haijakaa sawa kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe.Serikali iliyopo madarakani imeafikiana na wamarekani lakini Al-shabab hawataki kwasababu waamerika wamewaua sana wasomali na mpaka leo wamarekani wameanza upya kuwapiga na mabomu na kuua watu hawapungui 20 kila siku na hawana hatia yeyote.Kwa ushauri tu jirani zetu wasiingilie hii vita kwa maana wazungu wanarudi Afrika na wanakuja kwa staili ya kupiganisha waafrika tupigane wenyewe kwa wenyewe.Ili waingie na kuanza kuchuma na kunyonya ardhi ya mwafrika na kama tunavoona leo kwetu na staili ya uwekezaji.Muekezaji kapewa nguvu kuliko mwananchi.

    ReplyDelete
  3. Ninachojua mimi Kenya wanawasaidia Marekani kuwaondoa Al Shabab (ingawa si vibaya) kwa kuwa Marekani isingependa askari wake wa miguu wapambane uso kwa uso na Al Shabab. Ninapata nguvu kusema haya nikumbuka kauli ya kwanza ya Obama maada ya mauaji ya Gaddaf, alisema kwamba wanayo furaha (Wamarekani) kuweza kutimiza lengo bila hata askari wao mmoja kukanyaga adrhi ya Libya! Kwa hiyo sitashangaa siku za baadae kuja sikia kuwa walipuaji wa mabomu yalianzisha vita ya sasa ya Kenya na Al Shabab walitumwa na Obama. Hata hii hukumu ya haraka haraka ambayo si ya kifo inanipa uelekeo huohuo.
    Kwa kazi kwetu wana EA kuangalia aina za vita tunazoshiriki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...