Timu ya Kamba ya Hazina wanawake (yenye jezi za Bluu) na washabiki wao wakisherekea ushindi wa tatu wa Mashindano ya SHIMIWI baada ya kuwavuta RAS Iringa (hawapo pichani) leo asubuhi jijini Tanga katika hatua za kumsaka msindi wa Tatu . Hazina kamba wanawake imefanikiwa kuwa mshindi wa tatu baada ya kuivuta RAS Iringa mvuto mmoja na kwenda nao sare mmoja.
Home
Unlabelled
Hazina wanawake yaibuka mshindi wa tatu baada ya kuwavuta Ras Iringa mashindano ya shimiwi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...