Waziri wa Maliasili na Utalii,Ezekiel Maige (pili kushoto) pamoja na  Naibu Balozi  wa Tanzania nchini Uingereza,Chabaka wakipokea zawadi ya mpira

Salam,



Leo ilikuwa ni siku ya jumuiya ya Afrika mashariki ambayo hufanyika kila mwaka katika maonyesha ya WTM hapa nchini Uingereza. Kwa kawaida sherehe hizi hufanyika katika banda la nchi ambayo ni mwenyekiti wa Afrika Mashariki, kwa hiyo mwaka huu tafrija hii ilifanywa kwenye banda la ndugu zetu wa Kiburundi. 

Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE

 Asamoah Gyan alipotembelea Banda la Tanzania
 Asamoah na wapenzi wake kutoka Tanzania
 Frank, Bw Issa na Bi Jestina
 Mwenyekiti wa bodi ya utalii ya Uganda akiwa na Bw William Byeruhanga
 Waheshimiwa Ephraim Kamuntu, Najib Balala na Victorie Ndikumana (1)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...