Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Bi Kijakazi Rajabu Mtengwa (aliesimama) akisoma hotuba wakati akizindua Kampeni ya Siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia ilifanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dar es salaam tarehe leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Bi Kijakazi Rajabu Mtengwa akipokea zawadi ya vitabu toka kwa mmoja wa washiriki wa kampeni hiyo ya Siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia ilifanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dar es salaam tarehe leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Bi Kijakazi Rajabu Mtengwa akifanya mahojiano na waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya Siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia ilifanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dar es salaam tarehe leo.
Baadhi ya waandamanaji walioshiriki uzinduzi wa kampeni ya Siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia ilifanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dar es salaam tarehe leo wakipita mbele ya mgeni rasmi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...