Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa NChini (BFT), Michael Changalawe (kulia) akizungumza na makocha wa ngumi nchini wakati walipowasili, Kibaha Mkoa wa Pwani Juzi kwa ajili ya kozi ya mchezo huo na kuambiwa kozi hiyo iliyoandaliwa na kamati ya Olimpic (TOC)  imeailishwa kutokana na mkufunzi wake alieteuliwa kupata dhalura, hata hivyo makocha hao kutoka mikoa mbalimbali ya nchi walinyimwa stahiki zao hususani maradhi na posho za nauli za kuwarudisha mikoa walikotoka na kupatiwa kwa makocha wachache tu kinyume na barua walizopewa makocha ya kuwa watalipiwa garama zote za kwenda na kuwarudisha mikoani kwao. 

Baadhi ya makocha wa mchezo wa ngumi wakiwa Kibaha Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuuzuria kozi ya makocha iliyotarajia kuanza jumamosi ya kesho hata hivyo kozi hiyo iliota mbawa baada ya mkufunzi alieteuliwa na chama cha ngumi cha dunia (AIBA) kupata dharura, kozi hiyo iliyoandaliwa na kamati ya Olimpic (TOC) iliota mbawa na kufanyika kwa makocha hao kutojua hatma yao baada ya kufika Pwani bila kupewa stahiki zao walizoahidiwa katika barua ikiwemo usafiri wa kwenda na kurudi pamoja na chakula ambavyo hawajapatiwa na kujitafutia usafiri kwa njia yao wenyewe kurudi mikoani kwao.(Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...