Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimina na Viongozi wa Kampuni ya Globeleq-Songas kabla ya kuzungumza nao, ofisini kwake Mjini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji, Christopher Ford, Paul Kunert, Mikael Karlsson na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya 1 Plus Communication, Fina Mango.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Globeleq-Songas walipomtembelea leo.Kutoka kulia ni Bw. Mikael Karlsson,akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya 1 Plus Communication, Fina Mango,Mkurugenzi Mtendaji wa Songas,Christopher Ford na Paul Kunert.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Esther Matiko (kushoto) na Leticia Nyerere kweye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecelakwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Dada Fina japo kapingua urafiki namkubali,mpiganaji mzuri
    Che

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...