Home
Unlabelled
libeneke la taswirazz enzi za mwalimu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
looking good
ReplyDeleteAhaaaa naona hapo Radio ya kurekodia mpira wa Simba na Yanga. Timu ikishinda kila siku unasikiliza kanda mpaka mechi ijayo.. Those days!!
ReplyDeleteMimi
yaani ilikuwa kazi kweli kweli, lakini OLD IS GOLD
ReplyDeleteHaaa Haaaaa Haaaaaa Haaaaa, Ankal Wewe Umenikumbusha mbali sana, Yaaani, Nimewakumbuka Ankal zangu na anti zangu, enzi hizi,walikuwa machehi sista kweli kweli na Mabitoooz wa nguvu, jamani tumetoka mbali Shati la Kubana, Suluali unapimwa nyonga tu na urefu, Huko chini upana Haaa Haaaaa Haaa mwisho wa kitambaa , Nywele Zinachomwa na mafuta ya ng'ombe (Samli) Haaa haaa, Ilikuwa Laha !, Zinasimama hizo, Viatu vilikuwa hamna, Kata Mbuga na kanda mbili za Bora .
ReplyDeleteWalahih ! Ankal.
Ankal ananiambia kuwa enzi hizo, Kumchumbia demu au kumtaka demu, basi jiandae majibu ni baada ya miezi sita.
Ankali hao cha mtoto tu enzi hizo mambo yao safi
ReplyDeletemimi nakumbuka picha zangu nilikuwa napiga huku nimeshika chupa za pepsi au mirinda chupa tupu hata soda yenyewe sijakunywa mimi
na picha nyingine niliwahi kumuuliza mpiga picha alivyoniletea kuwa mbona maneno hayajatokea wakati nilipopiga nilikuwa naongea hahaha
huwezi kuamini ni ukweli mtupu enzi za mwalimu ilikuwa kaazi kweli kweli
people were a lot healthier then than we are now.
ReplyDeleteWhat happened to our big vitambis ?
Lord forbid !
Duh! enzi za mwalimu watu walikuwa choka mbofu namna hii?
ReplyDeletehapa watu walikua hawaitaji diet wala nini umbo la kuzaliwa bila mgogoro na afya zilikua nzuri no presha wala bp or shell kama sasa watu wanasema enzi ya mwallimu wamechoka hapana sasa ndio wamechoka wavimba kwa stress wakjona wana afya yakale hayapo hata kama ni gold ingekuwa inarudi ningetamani ni wa kwanza
ReplyDeleteMichu, katika hizo picha wewe umekaa wapi?
ReplyDeletenakumbuka enzi zile nikiwa bado sijabalee, nilipigaga picha huku najifanya nakunywa chibuku empty bottle. Cha kushangaza ni jamaa wa studio ndiyo aliyeniambia nipozi huku nakunywa chibuku, jamani inakuja kichwani kweli hii? Eti mtoto kapozi anakunywa chibuku.
ReplyDeleteHizo kapeti za studio nakumbuka mbali sana. Moja ya vigezo vya studio ilikua kapeti
ReplyDelete