Mkurugenzi mkuu wa SILAFRICA Bw.Akshay Shar (katikati) akishirikiana na Meya wa Manispaa ya Ilala,Mh. Jerry Silaa kuzindua mpango wa unawaji mikono kwa wanafunzi mashuleni kuunga mkono wito wa mama Salma Kikwete alioutoa siku ya umoja wa mataifa ya unawaji mikono 15 October 2011. Matank zaidi 105 yametawanywa katika shule zote za msingi za manispaa ya Ilala,jijini Dar es Salaam.
Meya wa Manispaa ya Ilala,Mh. Jerry Silaa akisoma hotuba yake wakati wa kuzindua mpango wa unawaji mikono kwa wanafunzi mashuleni kuunga mkono wito wa Mama Salma Kikwete alioutoa siku ya umoja wa mataifa ya unawaji mikono 15 October 2011.
Baadhi wa Wanafunzi wa Shule za Msingi waliojitokeza kwenye uzinduza mpango wa unawaji mikono kwa wanafunzi mashuleni kuunga mkono wito wa mama Salma Kikwete alioutoa siku ya umoja wa mataifa ya unawaji mikono 15 October 2011.waakiimba wimbo maalum kwa wageni wao waliojitolea Matank zaidi 105 ya kuhifadhia maji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hilo ni jambo jema, lakini kila siku naona watoto na vidumu vya maji ya kumwagilia bustani, hayo maji ya kunawa mikono yatatoka wapi? au kuna mpango wa kuyasambaza mashuleni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...