Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia Viongozi na wahitimu katika ngazi mbalimbali kwenye mahafali ya 23 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yaliyofanyika jana Bungo Kibaha Dar es salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Mhe. Samwel Malechela akimtunuku Shahada ya Heshima Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika jana Bungo Kibaha. Kulia ni Mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Mhe. Samweli Malechela akimtunuku Shahada ya Udaktari wa Falsafa Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Balozi Jaka Mwambi, katika Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika jana Bungo Kibaha.kulia ni Mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza jambo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Huria cha Tanzania Mhe. Samwel Malechela kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika jana Bungo Kibaha.Picha na VPO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hali ngumu si kwa watanzania tu , maumivu wanayapata hata wakubwa. jamaa ngozi zimechoka.

    mdau paris

    ReplyDelete
  2. Hiyo miwani ya jua au macho??? Thinking loud!

    ReplyDelete
  3. Two in one soku hizi kuna miwani kama hiyo, inabadilika kutokana na muangaza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...