Maandalizi ya mahafali ya 23 muhula wa Mwaka 2010 /2011 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania yameanza kufanyikia katika makao makuu ya chuo yaliyoko maeneo ya Bungo Wilayani Kibaha,mkoani Pwani.Mahaali hayo yamepangwa kufanyika Novemba 26, 2011
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania,Prof. Toll Mbwette akikagua ujenzi wa daraja la kuingilia katika eneo la Chuo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Sherehe ya Mahafali ya 23 ya Chuo hicho.
Mtunza stoo wa Chuo Kikuu Huria Tanzania,Bi. Anna Moleli (kulia) akimuonyesha Meneja wa Ujenzi wa Chuo Kikuu Huria,Bi. Joyce Mori majoho yatakayovaliwa siku ya mahafali ya chuo hicho mnamo Novemba 26, 2011. Picha na Chris Mfinanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...