maofisa wa kampuni ya UhuruOne wakifurahia jambo pamoja na Mkurugenzi Mkuuwa ITU Dk. Hamadoun Toure alipowatembelea katika banda la Tanzania katika maonyesho ya ITU, Geneve.
Maofisi wa UhuruOne wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Intel Bwana John Davies baada maongezi na uongozi wa Intel. Kushoto ni Mkurugenzi wa Intel Afrika Mashariki na wa pili kushoto ni Bwana Federiko Carvalho, Mkurugenzi wa Maendeleo wa Intel.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...