Katibu tawala wa mkoa wa Iringa Getrude Mpaka (katikati) na baadhi ya viongozi wa mkoa wakitembelea banda la maziwa la Asas Dairies Ltd Iringa katika maonyesho ya miaka 50 ya uhuru yanayoendelea kuifanyika katika uwanja wa Samora,Mkoani Iringa.


Askofu Boaz Sollo akiwa aomeongoza na wafanyakazi wa kituo cha radio Overcomers Fm na mgeni wake kutoka nje ya Tanzania ,kutembelea maonyesho ya miaka 50 ya Uhuru yanayofanyika kwenye katika uwanja wa Samora,mkoani Iringa.
Wataalum kutoka kisigo Tea Co.ltd Mufindi wakitoa maelekezo kwa watu mbali mbali waliofika kutembelea banda lao hilo wakati wa maonyesho ya miaka 50 ya uhuru katika uwanja wa Samora,Mkoani Iringa.Picha na Francis Godwin.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...