Mdau Mariam Komanya (kulia) akitunukiwa Nondozz yake ya pili ya fani ya digital Broadcast Media na mkuu wa Chuo Kikuu cha West London, Laurence Geller katika mahafali yaliyofanyika huko London hivi karibuni.
Mdau Mariam akiwa na wahitimu wenzake.
Mdau Mariam akipongezwa na nduguye,Qeen Komanya.
Nyangi na Matinde Kirahi wasomi wajao.
Mariam akiwa na shosti yake,Jestina George.
Mariam akiwa na mwanaye Matinde Kirahi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. hongera lakini camera yako imekuangusha. picha very poor quality kwa graduation

    ReplyDelete
  2. HONGERA SANA MY SISTER MWENYEZI MUNGU AKUZIDISHIE KILA LA KHEIR

    ReplyDelete
  3. Duh, mdau ana blond.

    ReplyDelete
  4. Ongera mpenzi,rafiki dada mpenzi,Mariam komanya mwenyezi mungu azidi kukuongoza inshallah.

    ReplyDelete
  5. Mrs queen zahra komanya pintoNovember 26, 2011

    Ongera Sana dada rafiki mpenzi Mariam komanya,Inshallah mwenyezi mungu azidi kukuongoza Amen!!!

    ReplyDelete
  6. Congratualtions ndugu zetu kwa kubeba Nondozz huko ma UK!!!

    ReplyDelete
  7. Hongera sana dada yangu, ni mafanikio yaliyoje, unastahili kila lililo la heri kwani wewe ni kati ya watu wanaonihamasisha, umekuwa mdada mwenye juhudi za pekee, kina dada wenzangu tukifata mfano huu basi sisi kama wanawake tutainua nchi kwa asilimia mia. tusome jamani tuige mifano ya kina mariam Komanya, Asharose Migiro na wengineo wengi

    ReplyDelete
  8. Nakupendaje Dada? nataka kujua ukirudi Tanzania utaendelea TBC one au? wewe ndio ulikuwa sababu ya mimi kuangalia TBC hahahah tafadhali rudi ujenge nchi yako

    ReplyDelete
  9. Mariam na mdogo wako Queen mpo juu kama muashoki, mmependezaje? kweli nyie ndio mnajua kutumia ulaya sio watu wanaenda huko wanarudi watupuu Elimu hakuna. kwa kweli namuomba mungu anisaidie kuiga mfano wenu.

    ReplyDelete
  10. Mungu amewapendelea macho duh! mmeshaolewa?

    ReplyDelete
  11. You nailed it babe, many congrats to you. you deserved it after the hardworking. keep it up. Got beautiful children

    ReplyDelete
  12. wewe mdau wa hapo juu badala ya kumpongeza bi mariam unarukia macho yake na marital status yake, sijui yanakuhusu nini, dada mariam mumewe ni mwanga kirahi, sorry too late, wewe mpongeze tu

    ReplyDelete
  13. hhahaha hii ya macho kali duh amechelewaje?

    ReplyDelete
  14. Hongera sana Dada yangu, u deserve more than that, bless u dada

    ReplyDelete
  15. You get to wear a funny hat. All your hard work has paid off, and now the hat is yours.Congratulations-Suzy Husna

    ReplyDelete
  16. If you think education is expensive, try Ignorance! Congratulations dear-Ali

    ReplyDelete
  17. Mariam! you proves something I always know about you-You never give up-You are pretty smart, congratulations. Florence.

    ReplyDelete
  18. I Know you Mariam, you never loose hope. wishing you and your family many more successes in the future-Francis

    ReplyDelete
  19. You have not only graduated from Uni you have graduated into adulthood. Wishing you the best things in you future to come -JENNLYNE!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...