Mdau Mariam Komanya (kulia) akitunukiwa Nondozz yake ya pili ya fani ya digital Broadcast Media na mkuu wa Chuo Kikuu cha West London, Laurence Geller katika mahafali yaliyofanyika huko London hivi karibuni.
Mdau Mariam akiwa na wahitimu wenzake.
Mdau Mariam akipongezwa na nduguye,Qeen Komanya.
Nyangi na Matinde Kirahi wasomi wajao.
Mariam akiwa na shosti yake,Jestina George.
Mariam akiwa na mwanaye Matinde Kirahi.
hongera lakini camera yako imekuangusha. picha very poor quality kwa graduation
ReplyDeleteHONGERA SANA MY SISTER MWENYEZI MUNGU AKUZIDISHIE KILA LA KHEIR
ReplyDeleteDuh, mdau ana blond.
ReplyDeleteOngera mpenzi,rafiki dada mpenzi,Mariam komanya mwenyezi mungu azidi kukuongoza inshallah.
ReplyDeleteOngera Sana dada rafiki mpenzi Mariam komanya,Inshallah mwenyezi mungu azidi kukuongoza Amen!!!
ReplyDeleteCongratualtions ndugu zetu kwa kubeba Nondozz huko ma UK!!!
ReplyDeleteHongera sana dada yangu, ni mafanikio yaliyoje, unastahili kila lililo la heri kwani wewe ni kati ya watu wanaonihamasisha, umekuwa mdada mwenye juhudi za pekee, kina dada wenzangu tukifata mfano huu basi sisi kama wanawake tutainua nchi kwa asilimia mia. tusome jamani tuige mifano ya kina mariam Komanya, Asharose Migiro na wengineo wengi
ReplyDeleteNakupendaje Dada? nataka kujua ukirudi Tanzania utaendelea TBC one au? wewe ndio ulikuwa sababu ya mimi kuangalia TBC hahahah tafadhali rudi ujenge nchi yako
ReplyDeleteMariam na mdogo wako Queen mpo juu kama muashoki, mmependezaje? kweli nyie ndio mnajua kutumia ulaya sio watu wanaenda huko wanarudi watupuu Elimu hakuna. kwa kweli namuomba mungu anisaidie kuiga mfano wenu.
ReplyDeleteMungu amewapendelea macho duh! mmeshaolewa?
ReplyDeleteYou nailed it babe, many congrats to you. you deserved it after the hardworking. keep it up. Got beautiful children
ReplyDeletewewe mdau wa hapo juu badala ya kumpongeza bi mariam unarukia macho yake na marital status yake, sijui yanakuhusu nini, dada mariam mumewe ni mwanga kirahi, sorry too late, wewe mpongeze tu
ReplyDeletehhahaha hii ya macho kali duh amechelewaje?
ReplyDeleteHongera sana Dada yangu, u deserve more than that, bless u dada
ReplyDeleteYou get to wear a funny hat. All your hard work has paid off, and now the hat is yours.Congratulations-Suzy Husna
ReplyDeleteIf you think education is expensive, try Ignorance! Congratulations dear-Ali
ReplyDeleteMariam! you proves something I always know about you-You never give up-You are pretty smart, congratulations. Florence.
ReplyDeleteI Know you Mariam, you never loose hope. wishing you and your family many more successes in the future-Francis
ReplyDeleteYou have not only graduated from Uni you have graduated into adulthood. Wishing you the best things in you future to come -JENNLYNE!
ReplyDelete