Wananchi pamoja na watalii wanao tumia barabara inayo unganisha Mikoa yaAarusha na Manyara leo wamekwama baada ya mto kirurumo uliopo maeneo ya mto wa mbu kukatika na barabara na kujaa mawe.hali hii imefikia mara baada ya mvua kubwa kunyesha katika eneo hilo. kwa mujibu wa wananchi na wakazi wa eneo hilo, inasemekana kuwa mpaka hivi sasa ni mtu mmoja anaesakika kupoteza maisha kutoka na hali hiyo iliotokea kwenye mto huo ambao umefurika sana.Picha na Chris Mfinanga.
Home
Unlabelled
MVUA YAKATA MAWASILIANO YA BARABARA KATI YA ARUSHA NA KARATU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EE jmani hiyo ni mvua ya hatari,yaani imesomba mawe kiasi hicho
ReplyDeleteEE Mungu atukinge na mvua kama hizo
Ahlam UK
Jeshi liko wapi, Tanzania hana vita. mambo kama haya nchi nyingine Jesh lingekuwa limeisha jenga barabara ya Munda.
ReplyDeleteHiyo ni mvua kweli au???? naona mkono wa mtu , Chadema hawahusiki kweli fanyeni uchunguzi
ReplyDeleteanon na chadema haya tunakusikia
ReplyDelete