Khadija Ngodah mwanadada mtanzania aisihe mjini Reading Uingereza amelamba nondoz kutkoa chuo kikuu cha West London kilicho kuwa kinajulikana kama Thames Valley University (TVU) na kuibuka na Bachelors of Art (Hons) in Business with Human Resources Management. Tunapenda kumpongeza sana ndugu yetu huyu kwa juhudi na mafanikio hayo na pia kuwatia moyo wanawake wengine wote maana 'tunaweza'!
Home
Unlabelled
MWANADADA KHADIJA NGODAH ALAMBA NONDOZ UNIVERSITY OF WEST LONDON FORMERLY KNOWN AS TVU...!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hongera sana mate kwa juhudi zako ktk maisha...cheers :)
ReplyDelete