Miss Universe Tanzania,Nelly Kamwelu Reppin' her beautiful country Tanzania at the swim suit presentation of the Miss International 2011,in China

Nelly Kamwelu at the Tree Planting with other Miss International 2011 Contestants 
Nelly Kamwelu (R) on the Group Photo after Dinner @ The Hotel

Official Group Swim Suit Photo of the Miss International 2011 Contestants.Vote for Nelly Kamwelu to win Miss International 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ANKAL PICHA YA KWANZA JUU INACHAFUA HALI YA HEWA KUNRADHI LOL

    ReplyDelete
  2. nice bikini nimempenda huyo kifaru kwenye hiyo bikini...wapeleke peleke kamwelu tuwakirishe vilivyo na usiwe mgumu kujiachia ndio moja ya trick za ushindi....

    ReplyDelete
  3. uwa sielewi nguo za kuogelea na viatu virefu?

    ReplyDelete
  4. ndio maana kila siku tunaishia kujitaidi tu,mpaka lini tutakuwa watumwa wafikra,nafikiri huyo binti alikuwa miss Tanzania kwa kikwazo cha weupe tu?
    stay black stay beuty,sioni kama anasifa ya kuwakilisha TANZANIA; kujikobowa ni utumwa wa fikra, hatawanaotengenezea hizo dawa hawazitumii, au ushasikia wachina wote wamepigwa pasi?

    ReplyDelete
  5. Ankal waelekeze watu namna ya kumpigia kura nelly hapo kwenye vote box ulipotuelekeza imeandikwa kijapani hatujui cha kufanya. Hiii ingesambazwa kwenye blog nyingine ili watu wengi waweze kupiga kura

    ReplyDelete
  6. macho yangu ama? naona kama miguu pinda hivi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...