Mkurugenzi wa African Stars ASHA BARAKA pamoja ofisa wa Ubalozi nchini Uingereza AMOSI MSANJILA wanazungumzia kuhusu maandalizi na matayarisho kwa ajili ya ziara ya Twanga Pepeta "KISIMA CHA BURUNDANI'' nchini Uingereza katika Kuazimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Show hii itafanyika jumamosi Tarehe 26 November 2011 katika
Ukumbi wa Club 2000(Silver Spoon)Savoir Banqueting Suite, Popin Building Southway,
Wembley HA9 0HB.
Asante,
Urban Pulse Creative
http://www.youtube.com/watch?
Hii safi sana. Hongera ASET na Ubalozi wetu wa Bongo kwa kutuletea hii burudani safi ya Twanga Pepeta mjini London. Hope hamtoishia London tuu, mtembelee pia watu wa Birmingham/ Milton Keynes na LEICESTER
ReplyDelete