Uongozi wa Tanzanian Muslim Community of Washington DC Metro (TAMCO) una furaha kuwakaribisha Watanzania wote wa DC Metro pamoja na wa States za karibu katika sherehe za Eid El AL- HAJJ zitakazofanyika siku ya Jumamosi Novemba 12, 2011
Mahali:
Conference Room
Bldg II-1412 Rockville SG II - 1st Floor
Bldg II-1402 Potomac SG II - 1st Floor
phone: (301) 738-6059
Muda: 4:00 PM - 9:00PM
Wenu uongozi
TAMCO
eid ni tarehe sita leo na si 12 labda watakuwa wamekosea na eid ni siku tatu tu ambazo ni yaumu tashriq sasa hiyo ya 12 labda ni chrisrmass maandalizi.
ReplyDeleteWewe nini wewe mdomo mkubwa tu; Angalia Quruan na Hadithi zinasema nini kuhusu 10 days za Aidil Al HAJJ. (Days after Arafat)
ReplyDeletePia hawa Jamaa hawakusema kwenda kuswali Idd, wamesema kusheherekea inawezekana watakuwa na speeches, michezo kwa watoto, na nk; Sasa kama unaleta uswahili wa Kuwaonea Donge na Roho mbaya za Kitanzania. Wacha Hzio au Stress zimekuzidi?