Home
Unlabelled
Ubungo Residential Apartments for Sale
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi Ankal kuna ufafanuzi ama utaratibu wowote unaotuwezesha na sisi watu wa ughaibuni kununua nyumba hizi, kama upo unaweza kutuwekea kwenye blog yako, kwani nimecheki kwenye http://www.nhctz.com/ sikupata maelezo yoyote. natanguliza shukrani Ankal
ReplyDeleteBwana Michuzi waulize hawa jamaa wa NHC hizi nyumba wanazoziuza ziko wapi. Mimi napita makutano ya barabara za Morogoro na Shekilango karibu kila siku lakini sijawahi kuona nyumba mpya au hata dalili ya kujengwa nyumba mpya eneo hilo. Ninachokiona hapo na yale magorofa chakavu ya NHC Ubungo.
ReplyDeletehi ankal,hizi nyumba zinaonekana ni nzuri,hebu naomba uniulizie zinaatikana kwa sh. ngapi? na terms of payment inakuwaje? kidhungu kinanichanganya.kama nikienda nhc hq niulizie room no ngapi.asante sana kwa kutuhabarisha,ubarikiwe mama l
ReplyDeleteTahadhari tu na ujenzi wa maghorofa. Uwiano wa idadi ya watu na huduma kama vile viwanja vya michezo unapokuwa kombo uhalifu huongezeka.
ReplyDelete