KUUPIGIA KURA MLIMA KILIMANJARO UWE KATI YA MAAJABU 7 YA ASILI YA DUNIA TUMA NENO "KILI" KWENDA 15771 na 15021 KWA MITANDAO YOTE au KUPITIA MTANDAO WA www.new7wonders.com.
mwisho wa kupiga kura ni 11/11/2011.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani me nauliza na kuhoji papo hapo!
ReplyDelete1.tuupigie kura mlima then what?
2.me sioni kama ni wa ajabu. ajabu yake nn? na kama ni wa ajabu kwa nn kura?
3.kwangu mimi vya ajabu ni vingi kwa tafsiri ya maajabbu.mfano ngozi ya albino kuhusishwa na kuleta utajiri.
4.nn manufaa yake??? ukishakua wa ajabu duniani.
anko nisaide hili. shirikisha wadau.
mzalendo halisi.
DSM
Michuzi do you know the source of this picture? Maana kama mtu anaujua vizuri Mlima Kilimanjaro hii ni view ya upande wa kenya...sasa maana yake nini kutumia hii picha ina maana hata watu wa bodi ya utalii hawaujui vizuri mlima Kilimanjaro?
ReplyDeletemlima wenyewe unaingizia mihela kenya zaidi kuliko danganyika na serikali imelala tu
ReplyDeletesisi tupo ughaibuni kila sehemu ya kukata tikert za ndege utaona tangazo la kutembelea kenya na utaona hiyo picha ya mlima.
Bodi ya utalii na mabalozi wetu walioko nchi za wenzetu hawaujui huo mlima. Tukipanda ndege kwenda/kuja Uk tunaona wakenya wakitangaza mlima huu upo kwao, huku magazeti ya Tz-Uk yakitangaza mwanamuziki gani ameoa/olewa Tz, hata mzungu akiliona somewhere hatalisoma tena halina quality tena zinazotumika kuprint ni hela za watz, sikuamini binafsi nilipoliona ilikuwa kama uchafu na nimelitunza kuja kuwaonyesha mjue jinsi mablozi wetu wanavyoitangaza Tz, wakati sisi tuna vitu vingi tu vya kutangaza
ReplyDelete