Home
Unlabelled
usingizi unapokosa adabu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sijalala! Utauwawa bure!
ReplyDeleteKwa wazungu, amini usiamini, jamaa ingebidi aweke kichwa chake au miguu/mikono yake kwenye kiti. Jamaa wanaiba viti vya baiskeli balaa. Ndio maana hata kwenye migahawa unakuta mtu kakaa hapa na pembeni kuna kiti cha baiskeli. Akipaki baiskeli nje anakichomoa.
ReplyDeleteWazungu gani hao? Nimewahi kusikia Waholanzi kwa kawaida huwa hawaibi baiskeli wanaazima tu
ReplyDeleteHahahha..mdau wapili umenichekesha sana..Basi hapa Ubatani(Uturuki) huwa wanaiba ringi yani frame hawana kazi nazo wallah nikweli na tushaibiwa sana ringi mpaka tukawa twacheka wenyewe kwamba Bongo wanaiba frame ndo dili huku jamaa wanaiba ringi ndo dili..na ww unasema wazungu kwao dili kiti..hahahaha..tabu sana humu duniani.
ReplyDeleteWe anonym 25 nov, 07.37;00 wazungu wa wapi hao unatudanganya? Wazungu wa huku niliko hata baiskeli inalala nje na hakuna noma. Ukiwa unashop na ulikuwa na baiskeli unaiegesha eneo maalum la baiskeli ukishaifunga basi hakuna wa kuichukua. Tena kwa wazungu camera kila kona. Don't lie again to the people who doesn't know
ReplyDeleteKama mdau wa pili alimaanisha wazungu wa Canada basi ni kweli kabisa, huku jamaa wanakwiba viti vya baiskeli balaa.
ReplyDeleteHahahaha...jamaa ameweka ''lock'' kufuli ya kimtindo...alimradi asiangukiwe na nyoka au akiingizwa puani ulimi na kenge!
ReplyDeleteUsingizi ni ajizi nyumba ya njaa!
ReplyDelete