Afisa Mafunzo na Ushirika wa Kitengo cha Usimamizi cha TASAF,Mercy Mandawa Mariki (kushoto) akitafsiri hotuba iliyosomwa na wanakijij wa Gwata wilaya ya kibaha vijijini kwa wageni kutoka Nchi za Finland,Madagaska na Ubelegiji ambao walikuwa katika ziara ya kuona miradi inayo dhaminiwa na tasaf pamoja na kuongea na walengwa serekali ya kijiji ili kujifunza na kama kuna changa moto zinazo wa kabili.aliye simama kulia ni Mr Rasmus heltberg kutoka Benk ya Dunia idara ya maendeleo ya jamii Washington DC nchini Marekani.
Dr Timo Voipio kutoka wizara ya mambo ya nje nchini Finland akisalimiana na wananchi wa kijiji cha gwata kulia kwake ni mr Rasmus Heltberg kutoka Bank ya Dunia ya Washington DC.Katikati ni Sofia Bettencourt mwakilishi Bank ya Dunia yenye ofisi nchini zambia.
Wataalamu kutoka ofisi ya waziri mkuu nchini Madagasca wanashugulikia maswala dharura na majanga.
wananchi wa kijiji cha gwata kibaha vijijini wakiwa katika mkutano na wageni wao.
Meneja wa mpango unao shughulika na maendeleo ya jamii kutoka bank ya dunia washing ton dc marekani mr Ramus heltberg akiwa na wazee wakijiji cha gwata wakisikiliza mkutano ulio kuwa unaendelea pcha na chris mfinanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...