Wanariadha walioshiriki katika mbio za Bendera ya Taifa za Kili wakiwa wameshika bendera zenye rangi nne za bendera ya Taifa tayari kumkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mjini Alhaj Musa Samizi baada ya kuwasili mjini hapo. Mbio hizi ni sehemu ya Kampeni ya Kili Jivunie uTanzania ambayo inaenda sambamba na sherehe za miaka 50 ya Uhuru chini ya udhamini wa Bia ya Kilimajaro Premium Lager.
Home
Unlabelled
Wanariadha walioshiriki katika mbio za Bendera ya Taifa za Kili Jivunie Utanzania wawasili mjini Moshi,tayari kwa kupanda mlima kilimanjaro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hizi mbio zina ajenda gani? Lazima kuna politics hapo.
ReplyDelete