Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (kulia) akitoa ushauri wa kitaalamu na uzoefu kwenye Kamati ya Sheria, Katiba na Utawala wakati wa mjadala wa Muswada wa Sheria ya Katiba ya Mwaka 2011 ambapo mwanasheria huyo mkongwe amewataka watanzania wote kwa ujumla kuwa kitu kimoja katika jambo hili.Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria, Katiba na Utawala,Mh. Pindi Chana 
Wajumbe na wataalam mbalimbali wa Kamati ya Sherai, Katiba na Utawala, Kamati ya Mashirika ya Umma, Kamati ya Fedha za Serikali za Mitaa na Kamati ya Hesabu za Serikali wakiwa katika mijadala mikali-mikali leo.Picha zote na Prosper Minja-Bunge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mmmmmhhhhhnnnnn Kaka Misupu
    Mbona kila mjadala unaoripotiwa uko mjini tu...ivi hiii miji yetu ina watu wangapi kuliko sisi tulio vijijini? Au ndo ushakuwa mradi...manake najua hapo kila alotoka anaposho yake ya siku...je sisi wakulima na tusio wafanyakazi tutajadili lini katiba mpya??????????Au katiba mpya ni ya kwa wale wafanyakazi wa mijini na wengine walio town na sisi tulio village ndo tusahau...tusubiri wenzetu mtuamulie....!!!!!!

    Asanteni kwa kutusahau...naona Tanzania ina wenyewe...na sisi hatumo.....!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...