Jaji Kiongozi Fakhi Jundu akiwa na baadhi ya viongozi wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Katiba na Sheria wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya miaka hamsini ya uhuru kwa upande wa wizara (picha zote na ofisa habari wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Munir Shemweta).
Home
Unlabelled
Wizara Ya Katiba na Sheria Yazindua Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Watu wenye hekima hua wanawaona nyie kama vichekesho,kwani hakuna sheria Tanzania kwani imefunikwa na rushwa kwa ngazi zote,sijui kuna kitu gani cha kusherekea.
ReplyDeleteWadau naomba kupata ufafanuzi wa mambo mawili kuhusu miaka hamsini:
ReplyDelete1.Uhuru wa Tanzania au Tanganyika??!!
2. Je kama Tanganyika ilikuwa chini ya uangalizi wa league of Nations(hatukuwa koloni kama Kenya)
je ni Uhuru au haki ya Kujitawala wenyewe?!
Mzawa!
Mbona suala la katiba mpya limenyamaziwa kimya?Wanasheria ndo ilibidi wasimame kidedea kutetea haki za wananchi na sio wanasiasa,coz suala hili linachukuliwa kisiasa zaidi kuliko kijamii.
ReplyDeleteJamani nini maana haya maadhimisho ya kila wizara,idara,taasisi.....wakati maadhimisho rasmi ya miaka 50 ni 9 Desemba? Je hicho kiasi cha pesa zinazotumika kwanini kisielekezwe kwenye mambo nyeti yanayolikabili taifa kwa sasa? Au kwakuwa watu wanaweza tengeneza posho za bure bure ndio maana tunayapa kipaumbele?
ReplyDeleteMheshimiwa anatembe na chuma ndani ya pamba, du! kweli usalama haupo.
ReplyDelete