Afisa Masoko wa Global Publishers, Benjamin Mwanambuu (kushoto) akimkabidhi cheti cha shukurani Ofisa Mwandamizi wa Masuala ya Biashara wa Benki ya Azania, Othman Jibrea, kwa kudhamini semina ya ‘Umaskini Fullstop’ iliyofanyika Mkoani Arusha mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu na kuhudhuriwa na maelfu ya watu.
Afisa Masoko wa Gloobal Publishers, Benjamin Mwanambuu (kulia) akikabidhi cheti cha shukurani kwa Ofisa Mwandamizi wa Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Bi Laila Maghimbi (katikati), na Ofisa wa Huduma kwa Wateja, Neema Lowassa, kwa kudhamini semina ya ‘Umaskini Fullstop’ iliyofanyika Mkoani Arusha mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu na kuhudhuriwa na maelfu ya watu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...