Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mchungaji Bwana akubariki sana, ukweli nakupongeza sana kwa hapo ulipo fika ila please usije ukarudia makaosa ambayo Watz wengi wameyafanya ukisema ni Misa ya kiswahili iwe hivyo. Tunapenda sana ikiwa ya kiswahili au ya kitanzania kwani kama unavyojua si vema tuhubiriwe kingereza kwa wazungu na kwa watanzania. Hata ukiwa na ugeni watafsiriwe kwa kiingereza wengi wameshindwa hapa kwani kwangu mimi sioni maana yeyote ya kuhudhuria ibada mara mbili yenye ladha moja. Bwana akutie nguvu mtumishi wa Bwana
ReplyDelete