Da' Eva  (kushoto) kwa niaba ya wafanyakazi wenzake akitoa maelezo ya zawadi ya jiko na zawadi mbalimbali walizompaita bi harusi mtarajiwa Getrude Matagi Mnaye kwenye sherehe hiyo siku ya mkesha wa Krismasi
 Baadhi ya wageni waalikwa wakishereheka kwenye  kitchen party ya Getrude Matagi Mnaye jijini
 
 Bi Harusi mtarajiwa Getrude Matagi Mnaye (katikati) akikata keki kwaajili ya sherehe yake ya kitchen party, Wengine pichani ni wasimamizi wake katika shughuli hiyo.
 
    Mambo ya KAITO wakinamama wakiserebuka, hakuna kulala.

      Mandhari  ya ukumbi  jinsi wakina mama waliohudhuria walivyopendeza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Chicken party?.. Mbona kuku hatuwaoni?

    ReplyDelete
  2. Hongereni sana wafanyakazi wenza bi harusi mtarajiwa kwa moyo wenu wa upwendo kwa mfanyakazi mwenzenu. Hakika ninyi ni mfano wa kuigwa.Ankal kwenye picha ya mwanzoni mbona hawa wafanyakazi wenza wanacheza na vinywaji vyao? Kwani wakiviacha mezani kuna tatizo gani?

    ReplyDelete
  3. hongera bi harusi unaingia 2012 na baraka hongera na tunza ndoa yako

    ReplyDelete
  4. Chicken party! LOL!
    Michuzi acheni aibu ndg yangu, hao wawakilishi wako wanakulet down

    ReplyDelete
  5. Ebana shemeji langu hilo.., so sorry ntamiss mpunga.., but al th best asee..!

    ReplyDelete
  6. Kitchen Party ndo hivyo, Harusi, send off itakuwaje.....Ukiomba mchango wa kwenda kutibiwa ama kusoma wote huwaoni hao..Watanzania badilikeni mnashindwa hata na Majirani zenu Kenya, Rwanda etc

    ReplyDelete
  7. Hongera mwanangu weee hongeraaaa! Nakutakia kila la kheri katika safari yako hiyo unayotaka kuanza hapo tarehe (kapuni) mwenyezi mungu awasaidie ni mie dada E!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...