Mkurugenzi wa Kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yusuf akiwa kwenye meza ya keki wakati wa onesho maalum la kundi hilo kutimiza miaka 5 ya bendi yake hiyo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yusuf (pili kushoto) akiwa na baadhi ya wadau wa karibu wa Bendi yeke ya Jahazi wakati wa kukata keki ya onesho maalum la kundi hilo kutimiza miaka 5.
Mzee Yusuf akiimba kwa manjonjo.
Mzee Yusuf akiwasili ukumbini huku mashabiki wake lukuki waliwa wamelizunguka gari aliloingia nalo.
Baadhi ya waimbaji wa bendi ya Jahazi Modern Taarab wakiwa wametulia.
Mwimbaji wa Jahazi Modern Taarabu, Fatma Mahmoud akifanya vitu vyake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. hongera mzee yusuph

    ReplyDelete
  2. achia nyonyooooooooooo

    ReplyDelete
  3. Mmmmmmh! hii make-up application imekaaje jamani. mbona nyuso zinatisha. Big up mzee Yusuf though.

    ReplyDelete
  4. jamani dada wa kwanza hata,ungepaka kidogo tu na hapo mdomoni rangi moja tu ungependeza sana sasa hapo uko kama jini

    ReplyDelete
  5. Anonymous uliyeandika achia nyonyo kwa kweli hukukosea.

    Hii sasa ni taarabu au mambo gani haya? Hayo ma makeup ya kijini na nguo zisizoeleweka, yakheeeee munatufikisha tusikokupenda kwenye taarabu.

    Mzee Yusuph hongera sana lakini angalia sana hivyo vituko vya hao mabinti.

    ReplyDelete
  6. hayo ma make up ndo mwanzo wa kansa aisee

    ReplyDelete
  7. Yes hivi ndo vitu tunapenda si vitu vya kuiga tu kila siku. Tunataka muziki wetu wa asili tarab na wa dansi kwani hii ndo miziki ya TZ si hii ya kulazimishana na kuibeza kuwa ni yetu (fleva).

    ReplyDelete
  8. hey INAT ALAWI MWIMBAJI WA ZAMANI WA IKHWAN SAFAA alisema katika mahojiano kuwa "TAARABU SIO KURUSHA ROHO BALI KUTULIZA ,ZAMANI KUNA AJABU YA KIROBOTO ,ASIEKULA NANASI,TOFAA LA KIUNGUJA,CHUMVI TUSIIDHARAU,SAIVI HAKUSEMEKI" sasa ipi sahihi au kuna TAARAB NA TAARABU?
    BASI HAPA KUNA WAIMBAJI WATOKANAJI TU

    ReplyDelete
  9. Dada naona make up zake zina rangi ya CHADEMA

    ReplyDelete
  10. Mzee Yusuph, guo hilo kama jini jabali. - Hongera lakini umefanya mambos.

    ReplyDelete
  11. Dada MWANNE mbona umedhidisha make up? Alowambia umependeza kakudanganya

    ReplyDelete
  12. Dada MWANNE mbona umedhidisha make up? Alowambia umependeza kakudanganya

    ReplyDelete
  13. Hongera kwa kutimiza miaka 5 ya kuzaliwa JMT.Ushauri wa bure kwa dada wa kwanza kushoto kwetu,si kila mtindo wa vazi wampendeza kila mtu maana maumbo yanatofautiana sana!

    ReplyDelete
  14. mdau wa 2:53 nakukubali hizo choice ulozitaja bab kubwa hata miaka 100 mbele haziji tena huoni hata mpenda masifa anaitwa mfalme?kwa kipi wache kina dada wapake mapoda wanavyotaka

    ReplyDelete
  15. coral paints..hapo kamaliza makopo manne tofauti...

    ReplyDelete
  16. manyonyo hayooooooooooo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...