Da' Eva (kushoto) kwa niaba ya wafanyakazi wenzake akitoa maelezo ya zawadi ya jiko na zawadi mbalimbali walizompaita bi harusi mtarajiwa Getrude Matagi Mnaye kwenye sherehe hiyo siku ya mkesha wa Krismasi
Baadhi ya wageni waalikwa wakishereheka kwenye kitchen party ya Getrude Matagi Mnaye jijini
Bi Harusi mtarajiwa Getrude Matagi Mnaye (katikati) akikata keki kwaajili ya sherehe yake ya kitchen party, Wengine pichani ni wasimamizi wake katika shughuli hiyo.
Mambo ya KAITO wakinamama wakiserebuka, hakuna kulala.
Mandhari ya ukumbi jinsi wakina mama waliohudhuria walivyopendeza.
Chicken party?.. Mbona kuku hatuwaoni?
ReplyDeleteHongereni sana wafanyakazi wenza bi harusi mtarajiwa kwa moyo wenu wa upwendo kwa mfanyakazi mwenzenu. Hakika ninyi ni mfano wa kuigwa.Ankal kwenye picha ya mwanzoni mbona hawa wafanyakazi wenza wanacheza na vinywaji vyao? Kwani wakiviacha mezani kuna tatizo gani?
ReplyDeletehongera bi harusi unaingia 2012 na baraka hongera na tunza ndoa yako
ReplyDeleteChicken party! LOL!
ReplyDeleteMichuzi acheni aibu ndg yangu, hao wawakilishi wako wanakulet down
Ebana shemeji langu hilo.., so sorry ntamiss mpunga.., but al th best asee..!
ReplyDeleteKitchen Party ndo hivyo, Harusi, send off itakuwaje.....Ukiomba mchango wa kwenda kutibiwa ama kusoma wote huwaoni hao..Watanzania badilikeni mnashindwa hata na Majirani zenu Kenya, Rwanda etc
ReplyDeleteHongera mwanangu weee hongeraaaa! Nakutakia kila la kheri katika safari yako hiyo unayotaka kuanza hapo tarehe (kapuni) mwenyezi mungu awasaidie ni mie dada E!
ReplyDelete