The White House, Washington
 Good afternoon,
After nearly nine years, our war in Iraq is ending.

In recent days, many of our troops have come home and been reunited with their families for the holidays. Over the next few days, a small group of American soldiers will begin the final march out of Iraq.
This moment of success is because of their sacrifice. More than 1.5 million Americans have served in Iraq. More than 30,000 of these brave men and women were wounded. Nearly 4,500 gave their lives. America’s military families have borne a heavy burden.

As we mark the end of this war, we need to show our veterans and their families that they have the thanks of a grateful nation.

Take a minute to look back at the moments that brought us to this point, then share a personal message of gratitude with those who have served.
Send your message of thanks
Part of ending a war responsibly is standing by those who have fought it. It's not enough to honor our heroes with words; we must do so with deeds.

That's why we've worked to send 600,000 veterans and family members back to school on the Post-9/11 GI Bill. That's why one of Michelle's top priorities as First Lady has been to support military families and why she's worked with the private sector to get commitments to create 100,000 jobs for those who've served and their spouses. That's why we worked with Congress to pass a tax credit so that companies have an incentive to hire vets and have taken steps to help veterans translate military experience to the private sector job market.

In America, our commitment to those who fight for our freedom and our ideals doesn't end when our troops take off the uniform.

You can be a part of this effort to honor our heroes.

Help mark this moment. Write a quick note that troops and veterans all over the world will be able to see:
http://www.whitehouse.gov/iraq
Thank you,

President Barack Obama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. The White House ni Ikulu ya dunia..
    So that dunia nzima ni lazima wa sign hii message of Thank kutoka kwa president wa dunia Barack Obama

    ReplyDelete
  2. Nomba niulize Wadau,

    China na Urusi ni nchi kubwa na mihimili ya dunia kiuchumi tena wakati mwingine kuizidi Marekani, mbona hazina mitindo ya kuendesha mambo yao kupitia vita kama Marekani?

    Ni nini sababu ya MAREKANI kwa miaka takribani 9 kuendesha vita ktk nchi nyingine?

    Kwa faida ya nani?

    Baada ya vita huko Iraq kuisha Marekani itanufaika na nini kwa mabadiliko ya serikali wakati nchi inatawaliwa na wenyewe Wairaq?

    Marekani haina vipaumbele vingine ktk kutoa gharama za matumizi ya hela za kodi yao, kama kuwahudumia (Homeless) wakazi wa mitaani,kutoa tofauti ya kipato kati ya matajiri na masikini, na (Addicts) Mateja wa madawa ambao pia ktk Marekani wapo?

    Gharama yote hii kuanzia kuendesha vita,maisha na hali za walioshiriki vita yaani 1.5 mil, majeruhi 30,000 na waliokufa 4,500 Marekani itarudisha nini kwake, na vipi?

    ReplyDelete
  3. Ykweli ni kuwa USA wameshindwa Iraq. 1. Walidai eti wanakwenda kutafuta silaha ya maangamizi (weapons of mass destruction), hawakupata chochote. 2. Iraq ya leo ni fujo tupu na USA haina guarantee ya kudhibiti petroli ya Iraq (the real reason behind the invasion). Wewe mchangiaji wa kwanza inaelekea kuwa wewe ni kibaraka usiye na haya...eti tuwashukuru mabeberu... Tufanye kama Lumumba, Mandela, Samora Machel na Nyerere...hamna kuwapigia magoti au kulamba viatu vya mabeberu. Mungu ibariki Afrika. Amen.

    ReplyDelete
  4. Me ananishangaza sana Obama na Wamarekani kwa ujumla,yani wanataka watu watume ujumbe wakuwashukuru wanajeshi wao wakati ni juzi tu nimesoma habari kwamba kuna mabaki ya miili ya wanajeshi 274 walioliwa Iraq yalitupwa ktk mto huko marekani.Habari hii ilifuchuka baada ya mke wa mmoja wa wanajeshi hao kufatilia kwa muda mrefu mpaka mwaka huu ndio wakamueleza ukweli huo kwamba mabaki ya mumewe yalitupwa(sio kuzikwa) nikagundua kumbe Osama sio wakwanza mwili wake kutupwa na Marekani ndo mchezo wao.Sasa kama wao wenyewe hawaheshimu hata miili ya wanajeshi wao na kufikia hatua yakuitupa huu ujumbe wa thanx utakua na maana gani.
    Waache unafiki hawa jamaa..Huwezi kuwafanya wapumbavu watu wote siku zote.

    ReplyDelete
  5. America is the face of opression. they stand for everything that is wrong and ugly. They always poke their noses where they are not wanted ion search of resources. They are the most dangerous nation on earth. They are the only nation who used the necleur bomb to kill innocent people in Japn, still they have got the audacity to try and prevent the necleur progress in Iran. If anyone should dismantle their neucleur weapons its them. You will fail, you shameless imperialists.

    ReplyDelete
  6. Mwisho wa vita vya Iraq ni mwanzo kuelekea Iran hadi nchi sita alizo ahidi marekani wazidhibiti ama amalize dunia. Hatuna haja ya Kusendi ujumbe kwani ni ya ukatili na maafa kwa wanyonge.

    ReplyDelete
  7. 1. Walitaka kuondoka Iraq zamani sana, ila kila wakigeuka wanatwangwa, ikabidi waendelee kukaa kulinda maisha yao. Usifikiri walitaka kukaa huko kwa miaka yote hiyo.

    2. Sisi tungepigana vita na nchi fulani, kisha tukawatumia Wamarekani waraka kama huu, wangetutusi ile mbaya.

    3. Kuna Wamarekani wengi sana walioipinga hii vita. Serikali yao ielekeze nguvu kuwaelimisha faida za hii vita na kuwaomba sahihi zao, na sio kutuelekea sisi tusiohusika. Habari zenyewe za vita tunazipata kupitia vyombo vyao, zikiwa zimechakachuliwa ili 'tuwapende.'

    ReplyDelete
  8. Hii habari ni kwamba watu wamecopy na kupaste na ni kwa ajili ya waamerica na si kwa mataifa mengine.

    ReplyDelete
  9. Huu waraka ni kwa ajili ya Serikali ya Amerika kuzidi kuwapumbaza Wamarekani waendelee kujiona kuwa wao ndio wakazi muhimu sana wa Dunia kuliko watu wengine!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...