Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akimkabidhi tuzo ya Superbrands Bw. Joseph Kusaga mkurugenzi wa Clouds Fm  (kushoto) usiku huu katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar. Katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrandy East Africa Jawad Jaffer, katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni yaliyofanya vizuri katika ubora wa viwango vya bidhaa na kukubalika kwa walaji, katika hafla inayofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam usiku huu, ambapo makampuni mbalimbali yatapata tuzo hizo kutoka kwa taasisi hiyo.
Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akimkabidhi tuzo ya Superbrands Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti SBL Ephraim Mafuru katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo,katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrandy East Africa Jawad Jaffer
Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akimkabidhi tuzo ya Superbrands kwa Mwamvita Makamba Ofisa Mkuu wa Masoko na mahusiano wa kampuni ya Vodacom (kushoto). Katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrands East Africa Jawad Jaffer na kulia ni Ofisa Bidhaa wa Vodacom Joseline Kamuhanda.Picha na John Bukuku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...