JUMUIYA YA WATANZANIA SWEDEN IKISHIRIKIANA NA UBALOZI WA TANZANIA, UNAPENDA KUWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE,MARAFIKI NA WATANZANIA WAISHIO NCHI ZA NORDIC KATIKA SHEREHE YA UHURU. SHEREHE ITAFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 10/12/2011 STOCKHOLM.
UKUMBI: KISTA TRÄFF KISTA TORG 7
WAKATI: 11.00 jioni HADI 7.00 usiku
SHEREHE ITAFUNGULIWA SAA 17.30 NA USIKU KUTAKUWA NA MAONYESHO YA MAVAZI, STAGE SHOW, VICHEKESHO,MUSIKI NA MENGINEYO MENGI TUU!
KUTAKUWA HAKUNA KIIINGILIO...NI BURE
ISIPOKUWA VYAKULA NA VINYWAJI VITAUZWA
Omar Bukwa: 0704671940; Adrey Mulashani: 0737106092; Seynab Haji: 0706508823
WOTE MUNAKARIBISHWA KATIKA SIKU HII YA PEKEE DUNIANI..!
JUMUIYA YA WATANZANIA IKISHIRIKIANA NA UBALOZI WA TANZANIA, SWEDEN.
Michuzi, Inawezekana ninahitaji miwani ili nione vyema. hii logo hapo juu naona kama inasomeka vibaya. Au lugha gongana kwangu
ReplyDeleteinasema hivi.
WE DARED, WE SUCCEEDED, WE ARE FORGING AHEAD. Hii ndivyo ilivyokusudiwa naomba wataalam wa legha wanisaidie tafsiri.
MUALIKO KUHUDHURIA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA NA WANANDUGU SWEDEN::::::::::::::::::::::::
ReplyDeleteWandugu kwa kiasi kikubwa wengi tuna hamu kubwa ya kutaka kushiriki nanyi sherehe mbalimbali huko nje haswa kwenu Sweden,,,isipokuwa udhalimu mkubwa wa Maafisa Ubalozi wa Sweden na nchi zingine za magharibi unatukwamisha!
WAO WA SWEDEN NA WAZUNGU WENGINE WAKIJA KWETU TANZANIA WANA GONGEA PASIPOTI ZAO UWANJA WA NDEGE WAKIFIKA, LAKINI SISI WANATU SHINIKIZA KUOMBA VIZA , NA WAJINGA KAMA UBALOZI WA MAREKANI NA UINGEREZA WANAWAJAZISHA WATU MAFOMU KWA MTANDAO AMBAYO YANA USUMBUFU MKUBWA!
HEBU, NDUGU ZETU JARIBUNI KUWASHUKIA HAWA WATU KTK MAMLAKA ZAO HUKO!.
Sio kweli kuwa kila muomba viza ana mpango wa kuhamia huko ughaibuni, watu wengine kama mimi hata Passport ya bure ya Sweden wakiwa tayari kunipa sitako ngó nime ridhika na Utanzania wangu kwa vile nafanya shughuli zangu Bongo na napata pesa ya kutosha!
Mdau, Dar Es Salaam.
Kama unafanya biashara nzuri bongo na una evidence to back you up sioni kwa nini unyimwe visa,tatizo watu hawawezi kujieleza ndo maana wazungu wanafikiria hutarudi.
ReplyDeleteMdau wa 3 kutoka juu, hawa watu wa ubalozi za nchi za Magharibi hawana mantiki katika maamuzi ya kutoa viza zao,,,nimeshuhudia watu na kazi zao zenye vipato wenye uhakika na maisha na wanavyo vigezo wananyimwa viza halafu wanatoa viza kwa wacheza ngoma wa vikundi vya sanaa na mashoga wa Bongo walio safarini kwa mapumziko ya fungate tena huko huko Sweden!.
ReplyDelete